Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Jarida maarufu nchini Marekani la Bloomberg, limeripoti kuwa mauzo ya simu za Huawei hasa toleo la Mate 60 yamepanda kwa asilimia 27 mwaka huu wa 2023 Likinukukiwa jarida hilo liliandika...
1 Reactions
1 Replies
739 Views
Simu ya Google pixel 8 series imekuja ikiwa na uwezo wa kutoa picha Kali zenye mvuto ndani yake yaani unaweza sema uko mwezini. Achana na kamera ya 50mp iliyopo ndani, kuna Teknolojia ya Akili...
14 Reactions
92 Replies
11K Views
Wandugu, Natengeneza an auction application kwa kutumia mySQL na perl, hizi ni project requirements. Nahitaji algorithm/code/commands za ku integrate a perl login kutoka mySQL database...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Zote tatu ndani ya cd moja zikiwa zimeboreshwa graphics mpyaa kwa ulimwengu wa sasa. system requirements OS: Windows 10 (probably 64 Bit) RAM: 8 GB. Processor/CPU: Intel Core i5-2700K / AMD...
5 Reactions
65 Replies
5K Views
Habari wadau, Nasimu ya iPhone 4 lakini nkiwasha inagoma sijui shida itakua nini inakua kama hivi kwenye picha kisha inazima
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Ndugu zangu wa JF, natumaini hamjambo na mnaendelea vizuri na maandalizi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya, 2024. Nimeamua kuja hapa JF kwa lengo la kukaribisha Guest Posts kutoka kwenu wadau na Wataalamu...
2 Reactions
0 Replies
606 Views
Habari wakurungwa, Nina shida na vitabu mbalimbli vya kiacademic mwenye kufahamu wapi (mtandaoni, aidha telegram au website au mahali pengine popote) ambapo naweza ku access free pdf books hasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wale Wazee wa zamani watakubaliana na mimi kuwa kulikuwa na wakati ambapo moja ya runinga yako, kompyuta, redio au bidhaa nyingine muhimu za kielektroniki zingetengenezwa na Toshiba. Hata hivyo...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Nilikuwa napata kero ya matangazo online..katika kupekuwa nimekutana na hiyo kitu nikaiweka kwenye setting kama yanavyoelekeza maelekezo naona matangazo sipati tena kwenye zile sites zote ambazo...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa mwenye Line ya safaricom ambaye yupo Dar,nahitaji fasta mimi nipo Dar es Salaam ofa 10k
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Mwaka huu Infinix wametuletea series Bora kabisa ya simu mpya infinix Note 30 series zikiwa na feature kedekede ndani yake Leo ngoja tuzungumzie kuhusu 𝗜𝗻𝗳𝗶𝗻𝗶𝘅 𝗡𝗼𝘁𝗲 𝟯𝟬 𝗽𝗿𝗼. Infinix Note 30 pro...
5 Reactions
37 Replies
6K Views
Ndugu zangu naomba kujua njia ya kutack simu ya mwizi wangu ili nijue Yuko wapi? Kunasystem inajulikana nzuri yakutumia kulocate simu ya mtu ninayemtafuta hata kama amezima simu? Naomba ushauri
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Nimefata process nzima the end Ina faili inasema hivyo "We cannot currently register this number "
1 Reactions
9 Replies
729 Views
Habari wakuu nilikuwa natumia instander(clone ya instagram) kwa muda sasa, Hivi karibuni imeanza kuomba update lakini kila nikiupdate sifanikiwi kuupdate, Hatimaye nikaamua kuuniinstall ili...
0 Reactions
0 Replies
342 Views
Mpaka leo 2023 internet ya fibre ni anasa kwa wachache hata wanaoishi kwenye majiji, yani hizo process za kuja kufungiwa tu waweza kata tamaa labda isp awe kampuni binafsi, wenzetu hapo Kenya hizi...
7 Reactions
18 Replies
957 Views
Kwema wadauwa tech. Samahani wimbo tajwa hapo juu umenitatiza nikisikiliza kwa earphones Unapiga as if mtu anakuwa anahimisha speaker. Mdundo unapiga left unahamia right then left. The process...
1 Reactions
4 Replies
441 Views
Skia tu kwa watu Ku-upgrade sytem kutoka version moja kwenda nyingine sio shuhuli nyepesi, ni bora kufanya development upya
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu. Nina harddisk yangu haisomi kwenye pc nikiskiliza mlio wake ni kama mashine yake kwa ndan imekwama hivi, inagonga. So anaefaham namna ya kurecover files au anafaham fundi...
2 Reactions
3 Replies
702 Views
Wasalaam! Wakuu na wataalamu! Ninaomba msaada wa kupata Microsoft Office Kati ya 2019, 2021 au hata 2016. Imekuwa mtihani kwangu kupata hizo version( for free) Nashukuru sana wakuu
1 Reactions
3 Replies
649 Views
Back
Top Bottom