Paypal inafanyaje kazi aliexpress na ebay?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,612
4,716
NAOMBENI MNIVUMILIE MIMI BADO S MUELEWA SANA WA HIVI NDO MY FIRST TIME
Nimejisajili na paypal tayari
Ila shida nayopata ni pale aliexpress ikifanya kwenye kulipia malipo paypal siioni wananiletea habari za credit card sijui nini nimetafuta paypal pale siioni, wananiletea alipay sijui.kwanini paypal haipo.

Nikija.kule ebay nashangaa nikitaka kununua bidhaa wanayoship world wide wanauliza post to US nikijaribu kuweka tanzania inagoma inamaana ni US tu sasa ukitaka.kuagiza bidhaa tanzania unafanyeje?
 
plss
 
Aliexpress huwa hawatumii paypal... unalipa kwa debit au credit card yako... so lazma uweke info wanazotaka.. then baadae wanakuletea bill yako kwenye email.... ebay unatumia paypal kama kawaida.. nao pia watakutumia kwenye email bill yako.. alipay ni kama paypal kwaajili ya aliexpress kama ckosei. Kabla hujanunua chochote hakikisha umekua registered kama member nadhani itakua rahisi kununua vitu... mi huwa natumia zote na mizigo inakuja vizuri tu kwa posta au dhl
 
oooh Kw hyo unaingiza namba za kadi yako pale? vp kuhusu usalama?
 
Mkuu naomba ufafanuzi kidogo..Kutokana na ugeni wa kununua bidhaa kwa njia ya mtandao, napata shida kujua kwamba bidhaa inafikaje baada ya kuagiza .Naomba nifafanulie njia yote ya kupata mzigo kwa njia ya posta sanasana..Natanguliza shukrani.
 
Inategemea unachagua aina gani ya usafirishaji... sana inakua posta inakua na malipo kidogo au bure kutokana na aina ya bidhaa... kama una sanduku la posta unapokuja kama ni mzigo mdogo mara nyingi wanapeleka kwenye box lako au utakuta notification ya kuonyesha una mzigo.... kama mzigo ni mkubwa au unahitaji kuulipia kodi utajulishwa kwa msg uende pale posta mpya na watakutumia nambari ya kifurushi chako. Kama huna box basi utafikia pale posta wao watakujulisha uende ukachukue
 
Je kama napokea kwa dhl sehemu kama Mbeya hivi.. Utajuaje kuwa mzigo ni wa kulipia kodi. !?
 
Kama ni dhl ... wenyewe watakupigia simu wakupe na gharama za kuutoa mzigo... income tax na vingine...wao huwalipi gharama zozote maana utakua ushalipia wkt wa manunuzi... ni kodi tu ambazo zitahitajika.... hata posta nako kodi ni hyo hyo.. . kama sijakosea jumla ya kodi zote (income tax na nyinginezo) ni 44.5% ya bei ya bidhaa uliyonunulia
 
Mzigo mkubwa unakua katika namna ya bei yake au uzito wake

Plllz mkuu naomba na mifano ya hiyo mizigo af agiza na kinywaji bariiid mi ntalipia
 
Inategemea unachagua aina gani ya usafirishaji... sana inakua posta inakua na malipo kidogo au bure kutokana na aina ya bidhaa... kama una sanduku la posta unapokuja kama ni mzigo mdogo mara nyingi wanapeleka kwenye box lako au utakuta notification ya kuonyesha una mzigo.... kama mzigo ni mkubwa au unahitaji kuulipia kodi utajulishwa kwa msg uende pale posta mpya na watakutumia nambari ya kifurushi chako. Kama huna box basi utafikia pale posta wao watakujulisha uende ukachukue
Kwa hyo mkuu mfano, umefanya manunuzi na kwenye shipping address inajulikana mahali ni Tanzania na mkoa ni Dar na huna postal box, mzigo utafikia posta? Na pia hawa Ali express huwa wanatoa tracking option ya mzigo wako?
 
NAOMBENI MNIVUMILIE MIMI BADO S MUELEWA SANA WA HIVI NDO MY FIRST TIME
Nimejisajili na paypal tayari
Ila shida nayopata ni pale aliexpress ikifanya kwenye kulipia malipo paypal siioni wananiletea habari za credit card sijui nini nimetafuta paypal pale siioni, wananiletea alipay sijui.kwanini paypal haipo.

Nikija.kule ebay nashangaa nikitaka kununua bidhaa wanayoship world wide wanauliza post to US nikijaribu kuweka tanzania inagoma inamaana ni US tu sasa ukitaka.kuagiza bidhaa tanzania unafanyeje?

Aliexpress huwa hawatumii paypal... unalipa kwa debit au credit card yako... so lazma uweke info wanazotaka.. then baadae wanakuletea bill yako kwenye email.... ebay unatumia paypal kama kawaida.. nao pia watakutumia kwenye email bill yako.. alipay ni kama paypal kwaajili ya aliexpress kama ckosei. Kabla hujanunua chochote hakikisha umekua registered kama member nadhani itakua rahisi kununua vitu... mi huwa natumia zote na mizigo inakuja vizuri tu kwa posta au dhl

msindikizaji naweza tumia card moja kulink alipay na paypal?

oooh Kw hyo unaingiza namba za kadi yako pale? vp kuhusu usalama?

Utakapo ibiwa pesa uje pia kutuomba ushauri

Mkuu naomba ufafanuzi kidogo..Kutokana na ugeni wa kununua bidhaa kwa njia ya mtandao, napata shida kujua kwamba bidhaa inafikaje baada ya kuagiza .Naomba nifafanulie njia yote ya kupata mzigo kwa njia ya posta sanasana..Natanguliza shukrani.

Kwa hyo mkuu mfano, umefanya manunuzi na kwenye shipping address inajulikana mahali ni Tanzania na mkoa ni Dar na huna postal box, mzigo utafikia posta? Na pia hawa Ali express huwa wanatoa tracking option ya mzigo wako?

Pitieni hii article ya jamaa yetu mmoja, aliamua kuandika uzoefu wake,ni msaada sana na inaweza kusaidia baadhi ya maswali pia kuongezea mawazo mapya.
 
Attachments

  • Biashara+kwa+mtandao+introduction.pdf
    3 MB · Views: 331
Back
Top Bottom