kama ulishwawahi kuibiwa Project yako na unamfahamu aliyekuibia ni wakati wako wa kulipwa sasa

mujulu

Member
Dec 25, 2017
56
125
Nawasalimu wana JF,

naamini kwenye jamii zetu tuna wagunduzi wengi wa vitu vipya kwa upande wa teknolojia ila shida ambayo imekuwa kikwazo kikubwa , ni hayo mawazo yamekuwa yakikumbana na vikwazo wakati wakuyatekeleza pamoja na vikwazo kedekede ikiwemo kukosa mtaji. Fedha za utafiti, wataalam wa kushauri ( mentor), government support , private institution support na mengine mengi Tatizo kubwa ambalo Leo naliongelea ni WIZI WA PROJECT ZA WATU, hili ni tatizo kuliko matatizo mengine yote , najua kuna wengi wamewahi kuibiwa project , na wanaziona zinawanufaishs wezi waliotumia udhaifu wako kuiba project yako sasa , Mimi pia ni mhanga ila baada ya kuibiwa project yangu miaka 5 iliyopita , project iliyo nipa majina makubwa pindi naipresent kwa taasisi flani flan na kwa wakuu maana waliniita bilionea , Mara co , Mara mtaalam , mara innovator , na maji ya kunywa walinipa ya Kilimanjaro pindi na wapresentia kumbe ilikuwa mbinu ya kuimendea.

Najua kuna mtu anasema hukujua jambo la hatimiliki (copyright/patent) nikwambie , kwenye technology innovation ni pagumu unaeza ukawa na (copyright/patent) na bado ukaibiwa tena vibaya mno that's y unaona marekani na China wapo na vita ya copyright za innovation zao, sasa niende kwenye point ya msingi , kama wewe uliwahi kuibiwa project yoyote na unauhakika inafanya kazi sehemu hiyo ulipo ipresent yaani mpaka Leo wanaitumia na unaevidence kuwa uliwapresentia.

Wakapita nyuma wakaiganya na kukupotezea , Leo una 80% ya kuikomboa project yako unaposoma Uzi huu , ila hats evidence kama hauna ila unawanaojua kuwa project hiyo inayotumiwa na wezi wakubwa hapo ni yakwako una 85% ya kuikomboa project yako, misho hata kama una evidence na watu wanaojua ila unauhakika uliwapresentia wakaiba project yako na inatumika mpaka Leo una 50% ya kuikomboa project yako Leo, sasa jiandae ,weka comments zako hapa subiri niprize kipenga lazima watu wapate haki zao tuna matajiri wanao nufaika na mawazo/ ugunduzi wa watu na watu wapo tu wanalia njaa.

Suluhu ya tatizo hilo imepatikana ,

ANGALIZO
usiandike project yako hapa iliyoibiwa na usitaje jina la aliyekuibia project , ukitaja umeua mchakato Japo najua wapo wezi wakipita lazima wajifanye hawajasoma angalizo langu, anyway , this battle is to be won .
 

Vangigula

JF-Expert Member
Aug 13, 2015
464
1,000
Mkuu. .... Naona umeandika kwa jazba lakini pia hujaweka mdadavuo wa namna gani mwathirika wa wizi wa project anavyoweza kukomboa wazo lake la biashara. Na kwenye sentence ya mwisho nadhani ulimaanisha BATTLE na sio BATTER.
 

mujulu

Member
Dec 25, 2017
56
125
Mkuu. .... Naona umeandika kwa jazba lakini pia hujaweka mdadavuo wa namna gani mwathirika wa wizi wa project anavyoweza kukomboa wazo lake la biashara. Na kwenye sentence ya mwisho nadhani ulimaanisha BATTLE na sio BATTER.
Kaka jaziba ishaishagha ni muda MFA mrefu sana , nlikuwa na watafutia angle nimehisi wanakaribia , lakini nkidadavua , njia hapo wanaweza kuzibrock kabla , ila kwa walioibiwa ntawasaidia hizo njia na sitaki kulipwa MTU asije akajua natafuta kulipwa no no.

Battle nimerekebisha mkuu thanks
 

Teenager

JF-Expert Member
Jun 28, 2020
466
500
Ndio maana kila ninachokifanya nafanya mwenyewe mpaka kikamilike ndio nakitoa isije ikawa kama mark zuckerberg alivyowafanya wale mapacha wawili.
 

Billions

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
3,078
2,000
Ndio maana kila ninachokifanya nafanya mwenyewe mpaka kikamilike ndio nakitoa isije ikawa kama mark zuckerberg alivyowafanya wale mapacha wawili.
upande wangu labda waje wapasue ubongo wangu watumie teknolojia ya hali ya juu sana kugundua memories zangu ndio labda wanaweza kuiba ...nina project kubwa sana hio naamini hata mark z akisikia atainunua na ndio lengo langu
 

mujulu

Member
Dec 25, 2017
56
125
upande wangu labda waje wapasue ubongo wangu watumie teknolojia ya hali ya juu sana kugundua memories zangu ndio labda wanaweza kuiba ...nina project kubwa sana hio naamini hata mark z akisikia atainunua na ndio lengo langu
Usimuuzie lazima ukikaa vizuri uifanye na ikutoe mi ndo ushauri wangu , kwa lugha nyepesi jipange kumtoa zurgbag kwenye bafasi
 

Teenager

JF-Expert Member
Jun 28, 2020
466
500
dah..mtanzania au mamtoni...
Hapana sio Tanzania ni marekani.

Huku africa mpaka ufike juu unatakiwa uwe thinking machine sababu mazingira yamebana sana huko nje mazingira yamerahisishwa.

Kuna jamaa 2016 alikuwa na company yake inaitwa flogg na kipindi hicho alikuwa 16yrs sababu kubwa mojawapo ni mazingira yanawasupport.
Imagine mtu16yrs anamiliki company yenye thamani ya usd million 2.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom