Wakuu,TV yangu inatoa sauti fulani hivi kama inaunguruma.
Yani sauti ya kawaida ya Tv iko poa. Ila kuna sauti fulan hivi back ground,yan kama ile sauti inayotolewaga na Friji ikiwa ina fanya...
Huu ni mtambo uliozinduliwa tarehe 15.5. 2015
kwa usalama Wetu Mods sticky huu Uzi tupate live mbinu za kimtandao tujiepushe kuingia mtegoni. Jf Siku zote litabaki kuwa kukwaa halali
Nimeshangaa kidogo kuona Remote ya StarTimes inafanya kazi vizuri unapotumia kubadilisha Channels katika king'amuzi cha
1. Azam TV.
2. DSTV.
Lakini nimejaribu kutumia ile ya Azam kwenye...
habarini zenu wanajamvi .ni matumaini yangu muwazima wa afya
kuna hii effect ya cartoon kwenye picha inakimbiza saana nimejaribu kuitafuta sijafanikiwa ama ni effects tuu za adobe photoshop...
wakuu, habari za asubuhi?
well, niwieni radhi kwa nitakaowapotezea muda kwa huu uzi.
Naombeni kufahamu kutoka kwenu wataalamu wa simu hizi za kisasa.
Hii simu tajwa hapo juu, samsung galaxy...
Nimefanya uchunguzi kidogo kwa kuangalia uelewa na uwezo wa kufikiri wa watu wanao miliki blogsport hapa Tanzania pia (blogger) pia nikaangalia article au content za blog zao nikagundua bado wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.