jinsi ya kuweka off gps nitumiapo line ya airtel

jinsi ya kuweka off gps nitumiapo line ya airtel

!??


Charge inashuka kwa kasi..


Kwa line ya Airtel hilo tatizo halina suluhu kwenye Android, bali kama unatumia OS tofauti lina solution, Kwende Windows sijaona hili tatizo. Na niliwahi kwenda ofisini kwao nilikuwa na Adroid Tablet wakaniambia hata wao limewashinda, na hata wenyewe simu zao zinawasumbua kutokana na hilo.
 
Wakuu hilo tatizo mimi huwa na kabiliano. Nalo kwaku switch off 3G to 2G basi ukizima Gps nayo ita kubali kuwa off
 
Wakuu hilo tatizo mimi huwa na kabiliano. Nalo kwaku switch off 3G to 2G basi ukizima Gps nayo ita kubali kuwa off

Sasa hapo si unakua una browse au download kwa speed ndogo ya 2G?

Hili tatizo lipo sana kwenye simu zenye chip za MediaTek. Ndio maana utaliona sana kwenye Huawei Ascends, Tecno, na zingine iangawa LG nao washawahi kua nalo ingawa wanatumia SnapDragon.

Solution: Nenda Settings>>Apps->>All Applications>> Tafuta Weather>> Disable hiyo App hafu njoo hapa leta mrejesho.
 
Back
Top Bottom