Habari ndugu zangu. Hii Simu nililetewa kutoka marekani. Huko ilikuwa inatumia mtandao wa tmobile. Ilipoletwa huku haikamati network.
Nimekaa nayo mwaka sasa Mafundi wengi wamejaribu...
nilikuwa naish mwanza kwa kipindi kama miaka kadhaa, na sasa nimehamia Tabra na nmekuja na startimes yangu. Shida ambayo inakuja nikuwa nimefika huku hakionyeshi channel yoyote na nimeenda kwa...
Habari wanabodi! Naomba kuuliza je inawezekana Kuwa na simu ya mezani lakini yenye kutumia mtandao wa Tigo? Na kama hizo simu zipo zinapatikana wapi? Zinaweza Kuwa zinauzwa kiasi gani...
nilikuwa naish mwanza kwa kipindi kama miaka kadhaa, na sasa nimehamia Tabra na nmekuja na startimes yangu. Shida ambayo inakuja nikuwa nimefika huku hakionyeshi channel yoyote na nimeenda kwa...
Hi wana jf wote!nataka niagize gari aina ya NISSAN BLUEBIRD SYLPHY kupitia autocom japan au sbt japan.Tafadhali mwenye kuijua gari hii hijalish ni ya mwaka gani yy anijuze tu.Pia mwnye kuyajua...
Wakuu naomba msaada kwa hii simu yangu ni mwez wa tatu tu tangu nimeinunua lakin cha ajabu ninapoitumia mf nikiwa online upande wa juu wa screen inapata moto ajabu halafu nikiacha kuitumia haiwi...
Habari waungwana!
Kwa wale wajuzi wa settings za computer/mipakato naomba mnijuze ktk hili.
Natumia laptop HP620, W7 ultimate. Lakini issue iko pale ninapofanya typing, ninapobonyeza SHIFT then...
hii IDM Alitupatia Paje humu ndani kitambo kidogo, nikawa nimeisave kwa dropbox, so anayehitaji just click below link, no key, no registration & neva update...
Link: http://bit.ly/IDM_kiboko
habari wana jamvi?
natumia galagy y gt~s5360 ni android phone yenye virsion 2.6.3 lakin haina play store nimeinstall lakin kuifungua inadai ni add account。
Habarini wadau naomba msaada wenu kuna mstari wa Blue unatokea kwenye kioo cha laptop yangu japo haijafikisha hata mwaka toka inunuliwe lkn unatokea mara chache chache sana kama baada ya miezi 3...
wandugu heshima kwenu.naomba msaada wa kunijuza hili tatizo la tablet yangu g9 inadoa limetokea juu ya kio chake
sijajua tatizo limesababishwa nakitugani mwenye kumjua fundi au aliyewahi kukutana...
Wakuu naomba msaada kabla sijaamua kununua modem ya TTCL nimekua nikiskia kwamba modem ya TTCL inaSpeed kubwa uwapo sehemu yoyote ile tanzania hii hata maeneo yale ya kijijini ambapo hakuna 3G...
Je nikitumia simu yangu kusikiliza nyimbo,kuchat facebook,twitter,instagram,whatsapp,viber na social networks zingne apo ndo nimeitumia simu kwa asilimia 100?
Siku ya tatu leo front key kama back na search hazifanyi kazi vizuri yaani mpaka uguse mara nyingi kitu ambacho sio kawaida. Lakini ukiitumia ikiwa kwenye charger zinafanya vizuri sana. Msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.