TZ - Cert ya TCRA makosa mtandaoni itakavyotrack uharifu

TZ - Cert ya TCRA makosa mtandaoni itakavyotrack uharifu

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,161
Reaction score
802
Huu ni mtambo uliozinduliwa tarehe 15.5. 2015

kwa usalama Wetu Mods sticky huu Uzi tupate live mbinu za kimtandao tujiepushe kuingia mtegoni. Jf Siku zote litabaki kuwa kukwaa halali
 
Hakuna kitu kama hicho ni wizi na propaganda,Hakuna mtambo unaoweza kutrack waarifu uliozinduliwa zaidi ya Uzinduzi wa Call Centre ya Polisi tu hiyo jana.
 
Hakuna kitu kama hicho ni wizi na propaganda,Hakuna mtambo unaoweza kutrack waarifu uliozinduliwa zaidi ya Uzinduzi wa Call Centre ya Polisi tu hiyo jana.

Wameshapiga za wajinga?
 
Back
Top Bottom