Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habar wakuu, naombeni msaada, nilikua na update software kwa kutumia internet ya wireless, then baada ya kumaliza nikawa naistall baada ya hapo ikajiereboot then ikawa inawaka then inazima...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Nimekutana na tatizo kwenye JAMII FORUMS kwenye Tapatalk. Kuanzia tarehe 17/05/2015. Notifications haziji kabisa. Sijui kama kuna mtu aliyewahi kukutana na hili. PUSH NOTIFICATIONS zinakuja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau kwema, Nimejaribu kupitia vingamuzi mbalimbali vya hapa nyumbani lakini sijaona decoder yenye channel nzuri, je ni decoder gani ya dish ya hapa dar ambayo itanipa channels nzuri both local...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Poleni na majukumu ndugu zangu wa Jamii Forums. Wakuu nina laptop yangu Acer ASPIRE E1-531, Nilinunua ikiwa haina OS yoyote nikaweka Window 7 Ultimate ya 32-Bits. Kuna tatizo linalonisumbua kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau wa tech hii mitandao ya simu imekuwa wanyonyaji sana kwenye suala la vifurushi vya intanet. Nahitaji kujua kama kuna any portable wireless device ambayo itanisaidia kupata a strong wireless...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau naombeni kujua bei ya hii samsung i9500.
0 Reactions
4 Replies
935 Views
husika na kichwa hapo juu
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Hello All, Please I need info on FTA in East Africa.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu ni kampuni gani wanadistribute Lenovo kwa hapa nchini?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba kujuzwa ni vipi naweza kurejesha sms kwenye simu yangu zimefutika bahati mbaya
0 Reactions
7 Replies
12K Views
Wanabodi kuna material nataka kupakua toka https://depfile.com/ ila nashindwa maana wananitaka niwe premium member. Kama kuna mdau anajua premium link Generator ya kuwapenya hawa jamaa naomba...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wandugu je naweza kupata dc adaptor nitumie kwenye dell yangu..?
0 Reactions
3 Replies
964 Views
ntawezaje kutumia apps zinazoitaji wifi katika 3G natumia android
0 Reactions
2 Replies
718 Views
habari wana jf mwenye ufahamu na topic tajwa hapo juu naomba anijuze please
0 Reactions
4 Replies
865 Views
Wadau habari za leo Natafuta mchoraji wa ramani za nyumba Kama wewe ni mchoraji mzuri weka namba yako hapa nikupigie
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu nataku kuroot simu yangu ya android ni samsung galaxy grand gt i9082 so kwa mtu mwenye uwezo na hii kitu anichek inbox note:nitalipa gharama ya huduma nipo mkoa ila tar 25 ntakuwa dar...
0 Reactions
2 Replies
832 Views
Naomba mwenye uelewa jinsi gani nitaunganisha TV aina ya ZEC na Receiver aina ya Sony HT-M22. Zote zinaonyesha zinatumia HDMI System, nimejaribu kila njia imegoma.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi Nataka kujua kuhusu hii kitu inayoitwa IPTV. Nimepata kusikia waweza kuangalia tv online kupitia IPTV kwa kutumia simu, PC au hata smart TV. Nimejaribu kugoogle na kutaka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
goes by 280k,0799363620.pickup frm seller,no delivery.
0 Reactions
2 Replies
778 Views
Back
Top Bottom