da irritant boy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 407
- 455
habarini zenu wanajamvi .ni matumaini yangu muwazima wa afya
kuna hii effect ya cartoon kwenye picha inakimbiza saana nimejaribu kuitafuta sijafanikiwa ama ni effects tuu za adobe photoshop ..tupeane maujanja
rejea picha hapa chini