Meshaque09
Member
- Mar 10, 2012
- 44
- 1
Naomba kujuzwa step za kuweka custom ram ya Android 4.4 kitkat kwenye mtk device.Phone tayari iko rooted.
NimeCheck google naona :A S-confused1:.
NimeCheck google naona :A S-confused1:.
Simu ni mtk device (chinese galaxy s3)
Brand: Alps
Model: e1901_v77_gq2002tc
Android: Version 4.1.1
kaka nimekuta rom zake nyingi tu ila nlitaka mtu mzoefu kidogo ani guide
kama una uhakika ni rom zake sawa haina neno ila kama si zake itakuletea matatizo
Chief nina galaxy ace 3 duos yenye Android 4. 2. 2.
Custom rom ya Kitkat inaweza kuwa nzuri zaidi ya hii?
Hapo kwenye 2G na 3G ndio patanikwamisha maana nipo pembezoni mwa mji nikiacha preferred inakaa kwenye 2G tu,yah itakua nzuri sema ndo itakua sio touchwiz tena. pia si custom rom zote ni stable nyengine hucrash sana na hazina function nzuri.
mfano kama hii custom rom inayosifiwa ya cyanogen haina uwezo wa kueka 3g only na 2g only hivyo kuifanya isifae matumizi ya kibongo bongo. ina 3g prefered na 2g prefered tu.
hivyo inabidi uwe makini na usome comments nyingi kujua rom ipi itakufaa
Hapo kwenye 2G na 3G ndio patanikwamisha maana nipo pembezoni mwa mji nikiacha preferred inakaa kwenye 2G tu,
chief-mkwawa naweza pata custom rom ya android 4.4 ya Huawei y300
kwa kweli sielewi hizo kitu zinasaidia nn?
omni rom ipo ya simu yako? hawa jamaa walikua cyanogen wanatengeneza rom nzur sana. pia kama kuna custom rom ya touchwiz hio pia inaweza kuwa bora kwako
yah itakua nzuri sema ndo itakua sio touchwiz tena. pia si custom rom zote ni stable nyengine hucrash sana na hazina function nzuri.
mfano kama hii custom rom inayosifiwa ya cyanogen haina uwezo wa kueka 3g only na 2g only hivyo kuifanya isifae matumizi ya kibongo bongo. ina 3g prefered na 2g prefered tu.
hivyo inabidi uwe makini na usome comments nyingi kujua rom ipi itakufaa