Kuhusu: Samsung Galaxy Grand prime.

Kuhusu: Samsung Galaxy Grand prime.

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
1,233
Reaction score
407
wakuu, habari za asubuhi?

well, niwieni radhi kwa nitakaowapotezea muda kwa huu uzi.

Naombeni kufahamu kutoka kwenu wataalamu wa simu hizi za kisasa.

Hii simu tajwa hapo juu, samsung galaxy grand prime ni halali niuziwe kwa Tshs laki 3? Kuna mtu anayo, kanitajia fixed price, laki 3!

Hii simu ina nini kizuri ndani wataalamu?
 
ni Mpya??
 
Inauzwa at most 400,000/= samsung shop
na kama nimeona hii simu ina Update ya Lollipop
 
Mkuu shukran sana. huyu jamaa kaishusha mpaka laki 2 na nusu. sasa sijui nitajuaje kuwa ni original au ni mchina?
Nisaidie na hapo..
 
Kaka kwa 200 labda iwe 2nd Hand au iwe mpya inatatizo toka kiwandani

Kuna thread nyingi tumeongelea kutambua simu fake za galaxy etc
 
Back
Top Bottom