Msaada kuhusu Samsung LED TV.

Msaada kuhusu Samsung LED TV.

Geniustin

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
4,380
Reaction score
2,855
Wakuu,TV yangu inatoa sauti fulani hivi kama inaunguruma.

Yani sauti ya kawaida ya Tv iko poa. Ila kuna sauti fulan hivi back ground,yan kama ile sauti inayotolewaga na Friji ikiwa ina fanya kazi.
Na hii sauti ambayo siielewi,inasikika vizuri nikiMUTE sauti ya king'amuzi.

Msaada wenu tafadhali,hii ni kawaida au ? Nini nifanye isitoke hii sauti,coz ni kama disturbance fulani hivi.

Thanks ina advance.
 
Nimeisikiliza hivi,naona nia kama huo muungurumo unatokea kweny speaker za TV.
Sasa naweza kufanyaje spika isitoe huo muungurumo?
Msaada wandugu.
 
Mkuu jarbu kubadilisha AV cable (waya za picha na sauti toka kwenye receiver kwenda kwenye tv) alafu cheki kama Hilo tatizo litaendelea
 
Nimeisikiliza hivi,naona nia kama huo muungurumo unatokea kweny speaker za TV.Sasa naweza kufanyaje spika isitoe huo muungurumo?Msaada wandugu.
AV Cable ni tatiz, badilisha weka nyingine hizo zimekufa. Hakikisha unazopata ni original.ikikataa basi hapo anza kutumia external speakers ie. nunua home theatre uconnect na hizo source zako au hata subwoofer za laki.yangu ndio hayo tu
 
Wakuu,TV yangu inatoa sauti fulani hivi kama inaunguruma.

Yani sauti ya kawaida ya Tv iko poa. Ila kuna sauti fulan hivi back ground,yan kama ile sauti inayotolewaga na Friji ikiwa ina fanya kazi.
Na hii sauti ambayo siielewi,inasikika vizuri nikiMUTE sauti ya king'amuzi.

Msaada wenu tafadhali,hii ni kawaida au ? Nini nifanye isitoke hii sauti,coz ni kama disturbance fulani hivi.

Thanks ina advance.


Kuna AV cable iliyochomekwa kwenye tundu ambalo sio lake. Kwa mfano kwenye kingamuzi umechomeka kwenye Video-out halafu kwenye TV umeuchomeka kwenye Audio-In
 
Back
Top Bottom