Huawei y 530 ghafla imegoma kisoma 3g

Huawei y 530 ghafla imegoma kisoma 3g

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,974
Reaction score
24,504
Habari Jf.
Naomba msaada natumia simu tajwa hapo juu.Toka jana imekuwa slow sana haisomi 3g naseti lakini bado iko very slow naomba msaada nifanyaje?
 
Unaposeti inakubali 3G lakini bado ipo slow 🐌 au inakataa 3G na kurudi Edge ? Eneo ulipo kuna 3G kwa huo mtandao wako?
 
Jaribu kuangalia kwa makini APN Settings zako, kuna wakati mtandao kama Vodacom wanabadilisha hizi APN bila mtumiaji kujua na kuzifanya VodacomWAP ambayo ni GPRS, au kwa upande wa tiGo wanabadili kwenda tigoWeb ambazo zote hizi hazina speed nzuri..

Under Access Point Names
Hakikisha..
Name:Linamo(au jina lolote)
APN:internet (zote herufi ndogo)
"Sehemu nyingine ziache zilivyo"

Kama hilo halitosuluhisha tatizo basi angalia kifurushi ulichonunua.. Je speed limit imefikia? (700MB kwa Voda ya siku)..

Pia unaweza kuwasiliana na Vodacom kupitia 100 au twitter uwaambie wa-reset profile yako.. ata kwa mitandao mengine pia inawezekana
 
Inaandika 3g nakupotea. Muda mwingi kwa sasa inaandika Edge. Natumia Airtel na mwanzo 3G ilikuwepo kuanzia jana jioni ndio nimeanza kuona haya mabadiliko.
 
Natumia Airtel APN setting iko sawa.
Name;Airtel
APN: internet
 
Inaandika 3g nakupotea. Muda mwingi kwa sasa inaandika Edge. Natumia Airtel na mwanzo 3G ilikuwepo kuanzia jana jioni ndio nimeanza kuona haya mabadiliko.

Hilo ni tatizo la eneo ulipo, na mtandao wa airtel. Kama hata ukienda maeneo yenye uwazi bado inafanya hivyo, basi wasiliana na airtel wafanye kuwezesha 3G permanent
 
hapo ni tatizo la network inawezakua mnara unaotumia kwa sasa una 2g. unaposema inakuja na kuondoka ni kwamba signal inakuja na kupotea. kwa uhakika zaidi jaribu kubadili laini na kuweka laini tofauti au jaribu kwend kwenye mnara ambao unauwezo wa kurusha 3g
 
Back
Top Bottom