Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

hivi ni kwanini wakati mwingine unapokua unatumia simu hizi smartphone unakuta mtandao haupatikani na mwenye simu ya kawaida unakuta unapatikana na mko sehemu moja nikwanini!
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Habari zenu wanajamvi, Natumia simu aina tajwa hapo juu lakini tatizo lake ni kupata joto wakati inatumika kuongea na mtu kwa simu mda mrefu, kuchat message au kama kutumia internet au hata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Window7 is not guinuine,nahitaj msaada wakuu ni jinsi gan naweza kuifanya ikawa guinuine.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
.
0 Reactions
0 Replies
682 Views
habari wadau napenda kujuzwa bei ya power benki tajwa hapo juu yenye mAh 9000 , pia uborawake kiutendaji
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Salam kwenu mandugu,nina laptop yangu huwa nikidownload document inakubali,lakini nikidownload video huwa hainiletei window ya kusave au kuwatch later..nilimtafuta it flani akaniwekea IBM lakini...
0 Reactions
1 Replies
784 Views
Habar zenu naomben kuuliza APC / UPS inafaa kusave umeme wa T.V na decoder. Ahsante
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba mwenye ufahamu wa kuiboot /hard reset tablet yenye mfumo wa kichina anipe msaada Simu ni intex ibuddy connect Model iT-ICONNECT S/W:I buddy-connect-v1.2 H/W A760G-MAINBODY-V2 2.0 SAR...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tafadhali mwenye uelewa na usaddress.com ya paypal anipe elimu juu ya inavofanya kazi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenyu wakuu.. Hili Swali langu linalenga Devices za Androids. Nafahamu Kuwa unaeza ukafanya Teathering n turn your phone into a wifi hotspot sasa SWALI langu ni kwamba JE inaezekana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nini madhara kwa simu endapo hutumii charger yake original
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ndugu, I've been using a Lexus IS200 Sportcross (sawa na Altezza Gita) for the past two years, now I'm kind of fallling in love with the wagons. Sasa nafikiria upgrading to BMW 3 series...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
DU HACKERS NI NOMA! JARIBUNI KUFUNGUA WEBSITE YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU Hacked By GeNiuS-JorDan muone walichofanya hackers! Wamehack hiyo site na kuacha majina yao na contacts zao na bendera( i...
1 Reactions
94 Replies
13K Views
PC yangu niki connect na usb au card reader ina niambia "USB NOT RECOGNIZED" naomben msaada nifanyaje?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Window 10 ya mwisho HAKUNA Window 11 Microsoft to stop producing Windows versions - BBC News Windows 10 is going to be the last major revision of the operating system. Jerry Nixon, a Microsoft...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hapari wakuu, ninataka kufunga VIOP nyumbani kwa kutumia linux as my PBX server kwa kuwa sitatumia gharama nyingi. Kama kuna mtu ana ufahamu zaidi wa VIOP setup ambayo ni cost effective tupeane...
0 Reactions
2 Replies
823 Views
Naomba kushauriwa kuhusu jambo hili. ninalo group kule facebook lenye member zaidi ya elfu kumi na kila siku ninaongeza takriban wanachama mia moja. nawezaje kunufaika kibiashara na hili group?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana JF, Niulize kitu: Mfano nipo mikoani let's say huku Kigoma na nimekiuka hizi sheria bahati mbaya; watanikamata vipi?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nime download application ya ku run android app kwnye PC inaitw bluestack. Lakini niki anza ku install app ya android kwny pc ina fail je tatzo ni nini!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waungwana wa jukwaa hili, Hamjambo wote? Nionavyo, jiji la dar linahitaji mapinduzi makubwa ya kiteknolojia kwenye eneo la usafiri wa barabarani. Watu wa dar wataishi na foleni mpaka lini...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom