Namna ya kutambua simu original

Namna ya kutambua simu original

y330

New Member
Joined
May 15, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Samahan wadau nitaitambuaje cm original aina ya sony z3?
 
Download cpu-z playstore itakuonesha specs za simu, compare na specs za hio simu online kama zinafanana ni original
 
Samahan wadau nitaitambuaje cm original aina ya sony z3?
ANTUNTU Officer ndo mambo yote, nenda Play Store download hiyo App then utahitaji PC na working web browser,.. utahitajika kuscan qr code kwenye website yao ya www.y.antuntu.com kwa kutumia simu yako.. Majibu yatakuja kuthibitisha uhalisia wa simu yako....
Pia kwa haraka haraka unaweza kucheki IMEI yako kwa kupitia www.imei.info..
 
Mkuu mpe ushauri kama yupo dukani, Yaani code za haraka kutambua simu original.!
 
Mkuu mpe ushauri kama yupo dukani, Yaani code za haraka kutambua simu original.!

Ndo maana nimemwambia kwa harakaharaka atumie IMEI.info kuangalia... hakuna code ya kuzitambua simu feki za aina zote.. hiyo ni njia ya haraka.. lakini kwa matokeo bora ni ANTUNTU Officer..
SOMA VIZURI KABLA YA KUCOMMENT
 
Samahan wadau nitaitambuaje cm original aina ya sony z3?
Kujua simu original wakati upo dukani au kwa haraka ni shida kidogo.

Ushauri kabla ya kununua simu, kwanza lazima ujue unataka simu gani.
Pili lazima ujue space zake kwa kupitia kwenye mitandao mbalimbali .
Tatu lazima ujue namba ya simu Yaani toleo la simu.
Nne jitaidi uipitie YouTube kuangalia spec, picha na jinsi inavyofungwa kwenye box.
Na wakati unaangalia hivyo usisahau kuangalia na feki yake inafungwa vipi na inautofauti gani.

unavyoenda kununua simu hakikisha kuna vitu vichache unavifahamu.

Jitaidi utembelee maduka mengi kadri uwezavyo, kibongo bongo bei zinapishana sana. Ni ujanja wako sio lazima kununua kwa siku moja tu hasa hizi za bei kubwa.

Jitaidi kuingia kwenye mitandao tofautitofauti kuifahamu simu unayoitaka.
 
Back
Top Bottom