Huu ndo ukweli ma blogger mjipange

Huu ndo ukweli ma blogger mjipange

bado nipo

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
303
Reaction score
43
Nimefanya uchunguzi kidogo kwa kuangalia uelewa na uwezo wa kufikiri wa watu wanao miliki blogsport hapa Tanzania pia (blogger) pia nikaangalia article au content za blog zao nikagundua bado wengi wao wana uwezo mdogo wa kufikiri

na wamekurupuka tu kumiliki blogsport bira kuwa na VISION na Mission nikaona bado kuna ombwe kubwa sana katika kumiliki blogsport ambazo zitakuletea faida, Mambo niliyo ya gundua kwa ma blogger wengi wa TANZANIA.

1: ukosefu wa ideas au wazo why wanamiliki blogsport

2:aziko specific au azina category nzuri mfano unakuta blogsport inaitwa afya lakini wana post vitu visivyo husiana afya

3:wana amini kuwa picha za ngono ndio kivutio cha watu wengi kwa iyo wanapost picha za ngono na habari za ki puuzi tu

4:content au articles zao ni fupi azizidi maneno 700

5😛oor design

6:wana shindwa kuzitangaza

Conclusion: japo kuna blogsport nyingi tanzania ila mm naziona chache tu zenye maana

ILA nashukuru sheria mpya itawabana
 
Wazo zuri mkuu cheki na hii mtanzaniaforums dot com
 
Ok!... Miaka mitatu jela au fine isiyopungua Tsh 10,000,000... Wale wanaoweka picha za Tundu Lisu ndio watahusika.
 
Yani nikitupia picha ya kielimuelimu traffic inakua chache ila sasa nikitupia uchi wa wema traffic inajaa balaa na adsense dollar inaingia kiutaamu..
 
kutoka moyoni nakwazika na watu wanaoandika maneno kimakosa hata kama maneno yako wazi kabisa, nimeshindwa kuchangia huu uzi baada ya kusoma maneno kama blogsport, bira.
 
kutoka moyoni nakwazika na watu wanaoandika maneno kimakosa hata kama maneno yako wazi kabisa, nimeshindwa kuchangia huu uzi baada ya kusoma maneno kama blogsport, bira.
basi ata shule ulipata tabu sana bila sema imekugusa tu
 
Hivi kuna chama cha bloggers hapa bongo au hata group hapa jf au kwa fb? kama halipo hebu tulianzishe na tutumie nafasi hiyo kujielimisha wenyewe kwa wenyewe
 
aziko
azina
azizidi

Nazani law makers wangeanza na language offencers kÃ-bla ya cyber.

najua ina kuhusu sana ndo maana unakwepa point ya msingi bahati mbaya nili fail kiswahili kwa iyo unipi shida
 
aziko
azina
azizidi

Nazani law makers wangeanza na language offencers kÃ-bla ya cyber.

Ivi mkuu Snipa kuna mahali snitch kasema Bira nadhan matamshi sahihi ni bila si ndio?
 
Mi huwa nakerwa na habari za kujirudia rudia na utakachokisoma blog hii ndo utakachokikuta ktk blog nyingine hata ubunifu hakuna wa habari 1 kuandikwa kitofauti na nyingine hawawezi ni mwendo wa ku-copy na ku-paste
 
"Haroo poti iri jamaa rinasumbhua sanar" nadhani kuna makabila ambayo hata ukijua mtu ana elimu ya juu utaona bado hizi kitu zinawasumbua sana.
Bila ni correct sio Bira.
 
Back
Top Bottom