RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,426
- 139,289
Kuna hii simu application inaitwa 'true caller'. Sijui inafanyaje kazi ila mtu akiwa nayo ukimpigia simu hata kama haja save na hana namba yako litatokea jina ambalo mtu mwingine mwenye hii app alilisave.
Kwa mfano mchepuko wako umekusave 'buzi langu' usishangae ukanipigia mimi nikakuuliza 'buzi' unasemaje?! kuna watu kadhaa nimewapigia kumbe kuna majina ya ajabu ajbu nimeseviwa na watu huko yanatokea! Kwa kifupi siipendi hii app maanke sasa hivi hata ukidanganya jina hii app inaweza kukuumbua!
Wazee wa michepuko kuweni makini!