Kuanzia kesho voda wataanza kutoa ofa mpya walioiiga toka tigo. Kwamba sasa utaweza kutumia bure intaneti kwa kiwango cha MB100 kuanzia saa 12 mpaka saa mbili asubuhi!
Unamaanisha walioiga? Airtel ilianzisha mwanzo.
Ila ukiona offer moja inatekelezwa na mitandao yote ujue ni makubaliano kama vile vifurushi vya usiku, university ptomotion nk
Tigo wame copy kutoka Airtel
Tigo wame copy kutoka Airtel
nadhan airtel limit yao ni moja tu yaani muda lakini vd na tg zenyewe zinalimit kwenye mb,s na muda. vinginevyo umesomeka mkuu
mkuu kwenye uchumi kuna kitu kinaitwa oligopolistic
market..nenda ukasome utajua features za aina Hii ya masoko...kwa oligopoly market Hii ni sifa yake mojawapo..firm zina utegemeano.mmoja akifanya hivi basi nawengine wanafuata..
nchi yetu sio ya ushindani kabisaa itakua mitandao yetu ww km kufukia mashimo tu barabarani unaambaiwa mbona fulani hajafanya itakua hawa wapuuzi wa mitandao ukiuliza utaambiwa mbona kule nako kuna mb 8
daah ila naipenda tz yng
apo nmepapenda wanatoa same service but different brand so kutakua na interdependence kati yao katika market
sio nchi yetu ni dunia nzima unafkiri opec wanavyopanga bei za mafuta inakuwaje? huwezi kuta sehemu moja pipa la mafuta dola 50 na kwengine dola 200 lazma ukute bei sawa au zinakaribiana kwa karibu.
mkuu kwenye uchumi kuna kitu kinaitwa oligopolistic
market..nenda ukasome utajua features za aina Hii ya masoko...kwa oligopoly market Hii ni sifa yake mojawapo..firm zina utegemeano.mmoja akifanya hivi basi nawengine wanafuata..
Tunaongelea oligopolyMkuu inategemea na bidhaa, sio kila bidhaa inapangiwa bei
Mkuu hicho unachokisema kipo kweli lakini hiki kinachofanywa na mitandao ya kibongo ni zaidi ya uhuni(makubaliano kutunyonya)
Zamani kabla hawaja anza huu huni wao oligopoly ilikua inaonekana na maranyingi hupanda juu na si kushuka chini
Hii humsaidia mlaji maana ukitoa kifurushi kizuri wateja wanakimbilia huko so ili kwa keep inabidi ma wewe utoe kizuri kinafanana na hicho kubakisha wateja wako
Lakini sasa hivi ni makubaliano ambayo yanamuumiza mlaji tu