Nahitaji findi wa laptop

Nahitaji findi wa laptop

KIJANA2013

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
466
Reaction score
201
Habari wana JF, natafuta mtaalamu wa kutengeneza laptop yangu ya Toshiba. Awe anapatikana Arusha, mwenye utaalamu ani pm
 
mtaalam nipo. sema tatizo lake nikufanyie hiyo kazi. nipo udcc, arusha. nakufuata au unakuja ofisini
 
week days napatikana jioni hivyo naamini utakuwa umefunga ofisii na kulazimika kunifuata, weekend niko free kama unafungua ofisi weekend naweza kuja ofisini
 
Ili kupata fundi mzuri ni vyema kueleza tatizo lako hapa ili fundi ajipime mwenywe ikiwa analimudu tatizo hilo au hana uwezo nalo.
 
Tatizo ni kwamba: nikiiswitch on inawaka vizuri kwa kama sekunde tano hivi, inadisplay ile msg ya starting window, baada ya hapo inakuja blank/black screen ina kamstali kana blink. Haiendelei mbele
 
Virus hao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom