Msaada Wa Instagram

Msaada Wa Instagram

whitedoug3

Senior Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
108
Reaction score
26
niajer.. samahani jamani tatizo langu mimi ni instagram yangu... siwezi ku upload pboto.... naifungua insta vizuri naweka picha fresh kamakuna editing nataka kufanya nafanya fresh, sema nikiweka next ili picha ifike ile hatua ya mwisho ambayo ndo tunaandika caption then tunaupload....ina crush then inarudi main page.... almost mwezi sasa tatizo ni hilo hilo, nimejaribu ku_unstall then kudownload upya lakini bado tatizo ni hilo hilo... please... kama una ezoefu na hilo tusaidiane jamani.. asante
 
Nafasi Imejaa Jaribu Kufuta Instagram Photo Pamoja Na Picture Nyingine Kwenye Gallery Ili Ig Ipate Refreshing Boss
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom