Msaada kutoka kwa wanaJF

Lofawamali

JF-Expert Member
Jun 9, 2014
304
146
Mambo wadau eti nilikua nauliza kama kuna uwezekano wowote wa kua verified member kwenye websites ambazo zna limitation access i mean inabidi uilipie then ndo uitumie

Je kuna mwenye idea yoyote au mwenye ambaye ashawahi kufanya hlo jaribio mana kias cha kujiregister ni kikubwa sana hvyo inanilazimu kulipia kias kikubwa cha pesa kwa kutumia online payment.Kama visa card na zngnezo kama kuna maseke yoyote yanaweza kufanyika nifaham mana u never know.
 
Back
Top Bottom