Ni app nzuri, naitumia zaidi ya mwaka sasa. Moja ya kazi zake ni kuondoa/kufuta junk files ambazo hazihitajiki kwenye simu na hivyo kuongeza memory/space ya simu. Pili husaidia ku-free RAM endapo apps nyingi zinatumika kwa wkt mmoja na hivyo kuifanya simu kuwa ya moto. Pia inaweza kukupa suggestions kuwa apps zipi usihamishie kwenye memory card ili kuongeza nafasi kwenye phone memory. Pia hutoa suggestions za apps zipi uziondoe endapo hujazitumia kwa muda mrefu. Pia ina part ya articles ambayo unaweza soma habari mbalimbali. Kwa ufupi ni nzuri.