Cm yangu ni huawei y300 internal ambayo ni used ni mb600 free size ni mb535 ram size used ni mb383 free size size inaweza kubadilika badilika mara mb17;19;20;30 mara 45 sasa nataka angalau ifike...
wanajamvi mimi ni mkazi wa Kigamboni DSM. nimejaribu kutumia modem za airtel, tigo na voda kwa nyakati tofauti ila internet naipata kwa tabu sana na inakuwa too slow na nashindwa kutimiza majukum...
Wakuu, kuna application moja inaitwa PlayTV hii inakupatia channel nyingi sana za tv ambazo zinapatikana online live kabisa. Inachotakiwa ni kudownload Playtv application katika playstore...
zifuatazo ni nchi ambazo zina teknolijia ya hali ya juu katika nyanja za kijeshi na silaha za kivita.
10.north korea
9.South Korea
8.India
7.Germany
6.Japan
5.France
4.U.K
3.Russia
2.China...
Habari wana jf ,nnalaptop yng ya lenovo ,mara nyingi napendelea kuilaza kwenye chaji ,toka juzi ukiiwasha inawaka ila screen haiwaki ,je inawweza kua imeungua kioo au msaada please
Hii ni app ambayo inaroot almost simu zote na ilikua ni ya kichina tu sasa hv jamaa wameileta lugha ya kingereza.
Tumia kama njia nyengine zimeshindikana kuroot.
Ingia link hii then nenda...
For future precaution download this app (dropbox), they give you 5 GB of storage (cloud storage) for free, So each snap you take through your phone will directly uploaded to your dropbox account &...
ADVANCED MICROSOFT EXCEL TRAINING FOR PROFESSIONALS:-
Do you aspire to become more Competitive in your work? The Global Business Consulting (GBC) is a solution to your career aspiration in terms...
Habari zenu! Laptop yangu ina tatizo lilikuja siku ambayo nilikua nina surf kwa kutumia chrome huku nikidownload moviea kwakutumia bittorrent ghafla nikanotice application mpya ambayo...
Habari wakuu naomba msaada wa apps itakayo niwezesha kuangalia/kuckiliza kupitia simu yangu kwenda kwa tv means naitaji kuangalia movie zangu zilizopo kwenye simu ni angalie kupitia video.. asante
Halmashauri ya Jiji la Arusha kwa kushirikiana na Tume ya Uchaguzi inatangaza nafasi sita (6) za Maafisa TEHAMA (IT) watakaofanya kazi katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.