Msaada wa namna ya kuactivate Windows 7

Msaada wa namna ya kuactivate Windows 7

Gazaniga

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
1,051
Reaction score
361
Habarini wadau

Niliformat laptop yangu majuzi hapa ila CD niliyotumia kuiformat haikuwa genuine hivyo hii niliyotumia nitaweza kuitumia kwa siku 30 tu,kulingana na ujumbe unavyosomeka

Kupata windows Activation keys najua ninapaswa kununua kwani kwny laptop sina, ILA niliambiwa kuwa kuna namna ya kucrack kwa software ya kudownload....kwa Anayejua please anisaidie.

NASHUKURUNI.
 
tumia Re-Loader au kmspico ndio solution yako.
 
Nashukuru mkuu ila naomba unielekeze,kwenye hizo mbili sasa natype nini ili kudownload hiyo Activator? Au hizo ndio software zenyewe nikishainstall ni basi?
 
Samahan kuingilia uzi yangu n samsung mini laptop,nimeweka window 7 inanipa ujumbe wa window not genuine na nimetumia activator zote hizo mbili imegoma,nifanyaje ndugu?
 
Nashukuru mkuu ila naomba unielekeze,kwenye hizo mbili sasa natype nini ili kudownload hiyo Activator? Au hizo ndio software zenyewe nikishainstall ni basi?

we download kwanza ni software tu..ingia onhax.net kisha search kmspico.ukiipata nijulishe
 
Nashukuru mkuu ila naomba unielekeze,kwenye hizo mbili sasa natype nini ili kudownload hiyo Activator? Au hizo ndio software zenyewe nikishainstall ni basi?

kwanini usiweke window ambazo ni pre activated..by the way..hayo maandishi yanatokea hapo mbele kweny desktop au
 
Back
Top Bottom