Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nililetewa android phone aina ya G-tab 700+ kutoka Saudi sasa display imepasuka na touch haifanyikazi wapi nawezapata touch na itacost shilling ngapi? NATANGULIZA SHUKRANI
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika sekta ya ujenzi kuna teknolojia za kisasa zenye ubora na bei nafuu. Ningependa kujua toka kwenu wadau ambao wako sekta ya ujenzi au waliojenga hivi karibuni kuhusu aina ya milango ambayo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari. Nauliza wataalamu au wanaoutumia hivi ving'amuzi. Nina muda free television sizikamati isipokuwa tbc tu. Ni nini tatizo. Pia naomba kujua king'amuzi bora kwa sasa kwa FTA-free to...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba msaada Wa kuweza Kuiroot hii simu. Pili naomba Ku upgrade ifikie KitKat 4.4 Thsnks
0 Reactions
1 Replies
3K Views
hivi ukitumia simu kma modem inakula hela sana mb 200 kwa dk 5
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tunapenda kuwatangazia kuwa tumetengeneza Android App inayoitwa Grab! Bajaj App. App hii inamwezesha mtu yeyote kuona orodha za bajaj zilizozopo karibu na eneo alipo (Tanzania) pindi anapotaka...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa anaetumia au anajua decoder za azam TV , je hizi decoder ni full hd kweli maana Kama zimeandikwa full hd Ila nashangaa bei yake ndogo Sana
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Habari wakuu,,! Jamani simu yangu inatatizo gani maana kila niki download kitu chochote nikitaka kukifungua inaniambia "File format not supported" ni simu aina ya Nokia ashia 303. Najua kuna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waliowahi kuitumia hii tecno h6 naomba kujua ubora wake na ufanyajikazi wake.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu, Bahati mbaya sijui thread yangu inafaa kukaa forum gani. Nina kakibanda kangu ambako ni kakubwa kiasi chake jijini Dar. Nahitaji fundi mzuri wa Grilles ambaye yupo neat na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kabla ulikuwa ukitaka kutumia WhatsApp mbili au zaidi kwenye simu 1 ungeweza kufunga ama OGWhatApp, ENWhatsApp, SAWhatsApp au WhatsApp Plus, sasa hizi zingine zote (clone) hazifanyi kazi tena...
5 Reactions
31 Replies
7K Views
Habari za leo wana jukwaa! Naomba kujua kama inawezekana kutumia dish la dstv na kisimbuzi cha Zuku baada ya kutafuta sattelite ambayo ZUKU wanarushia channels zao. Maoni yenu tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni hivi nahitaji application ambayo nitalock mafaili mfano na lock baadhi ya video au Picha si sole za kulock application nzima.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nina Toyota Harrier ambayo nimenunua mwaka 2012. Ni ya mwaka 1998. Kwa sasa kuna tatizo linajitokeza ambapo taa ya hand brek inawaka. Inafanya hivyo automatically hasa gari inapoanza safari. Ila...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nimefanikiwa kuweka window 8.1 update 2 kwenye simu yangu. Kuna mabadiliko kidogo kwenye settings setup na home screen. Ni hatari kufanya hivyo hasa kama simu yako iko kwenye orodha ya simu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Notification panel yangu inakataa kujiupdate since 17th may nini tatizo kwa mwenye ujuzi
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Nahitaji kampuni inayouza software kwa ajili ya SACCOS. Nataka yenye uwezo wa kutoa mikopo na kuonesha makato, kutunza taarifa za wanachama, kuonyesha akiba, hisa, akaunti mbalimbali(akaunti za...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa wale wateja hasa wa mikoani waliokuwa wakitegemea kifurushi cha mwaka, Tigo wameshusha zaidi. Mana walienda na series yakushusha MB kutoka 175 - 100 - 50 Mpaka sasa wanakupa MB 8 huku wakiwa...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wasalaaam wakuu: Anayejua anisaidie,hivi ninafanyaje ili icloud account yangu ya kwenye iPhone(simu) ndio itumike kwenye ipad!?? Na pia nifanyaje ili data zilizopo kwenye iPhone...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu kichwa cha habari hapo juu chahusika nahitaji kujua ni post gan ilifikisha reply nyingi kulko nyingine humu ndan c:c Mwl.RCT
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…