Vifurushi vya Airtel OMG wamepunguza size za bundle

cc12

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
1,010
1,500
Wakuu airtel washafanya yao tayari wamepunguza ukubwa wa vifurushi wa OMG vyote jaribuni kucheki maana kila kukicha hali inakuwa mbaya kwenye swala la internent wengine ni watoto wa maskini
 
Dec 11, 2010
3,323
0
Bado ni nafuu sana wakuu tuache kulalamika sana! Ungekuwa unaingia internet cafe kwa hiyo 800 yako ungekuwa unaitumia kwa muda gani na ungeweza kutumia GB ngapi?!

Kula urefu wa kamba yako mkuu.
 

Anheuser

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
1,947
1,225
Bado ni nafuu sana wakuu tuache kulalamika sana! Ungekuwa unaingia internet cafe kwa hiyo 800 yako ungekuwa unaitumia kwa muda gani na ungeweza kutumia GB ngapi?!

Kula urefu wa kamba yako mkuu.
Kwa nini unalinganisha na bei za internet cafe? Mawazo ya yule mama Malkia aliyewaambia wanaolalamikia upungufu wa mikate wakale keki.

You are not making any sense anyhow. Ukishasema watu wale kwa urefu wa kamba zao ina maana unaelewa kuna wengine kamba zao ni fupi, yani hizo bei sio nafuu kwa wote. Sijui hata kama unaelewa.
 

mswele

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
573
250
nataka kuuliza hivi hawa airtel wana vifurushi vya internet vya usiku km vile tigo ile ya gb30 au voda ile wajanja nyt?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom