icloud lock activation

icloud lock activation

TRUVADA

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
4,539
Reaction score
1,773
Jamani nimenunua iphone 6+ kwa 30000/= je jamani hamna mpaka sasa anaweze kubypass hii kitu hapa bongo ili tufanye BIASHARA ya maana baadae?
 
kiongozi hakuna hiyo kitu, Hata ingekuwa ni yako NA UNA RISITI ulinunua Marekani dukani na umesahau login ID na detail za kureset pia haujui, Hata uende Apple hawatokufungulia watakwambia mtafute mwenye nayo.
TAHADHARI
MNAOONA WEBSITE ZINATANGAZA KUWA WANATOA ICLOUD LOCK itakula kwenu si hapa wala ulaya
 
Mkuu hii kitu bado ni mpya kabisa yaani imenitia hasira navyoiangalia hivi ,mchawi ni hiyo lock tu
 
Mkuu hii kitu bado ni mpya kabisa yaani imenitia hasira navyoiangalia hivi ,mchawi ni hiyo lock tu

Mkuu uko mzima kweli..iphone 6+ kwa 30000/= na wewe ukakubali tuu?? Tena shukuru mungu umeuziwa hiyo bei!! Kufungua hiyo simu ni mziki mwingine ..haiwezekan!! na ukizubaa utaletewa drones (kama iliibiwa ulaya/USA) mpaka nyumban kwako...na kama ni mbongo jiandae kufwatwa na police popote ulipo!!! Kweli huu umaskini utatumaliza hakyanan!!!
Nb: tusipende vitu vya bei chee au vya wizi.
 
Mkuu sio kwamba nimenunua kwa Bahati mbaya nimenunua kwa makusudi huenda huko mbeleni ufumbuzi wa hiki kitu ukapatika au ,mtu anaweza hitaja hata screen yake ,Kama spea parties na hiyo 30000 najua itarudi tu
 
Hivi siku unakamatwa utarudi huku kuomba msaada ukiwa police, shauri zako
 
Mkuu sio kwamba nimenunua kwa Bahati mbaya nimenunua kwa makusudi huenda huko mbeleni ufumbuzi wa hiki kitu ukapatika au ,mtu anaweza hitaja hata screen yake ,Kama spea parties na hiyo 30000 najua itarudi tu

Kama haina mikwaruzo uza spare, ingekuwa 6 ningekupa pesa kuna kitu nahitaji. Utauza bei gani kama kuna mtu anataka kukurudishia hasara mkuu?
Hizi smartphones epuka sana kununua kutoka chanzo kisichojulikana, utauziwa kesi za mauwaji upotezwe kabsaa.
 
Back
Top Bottom