Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Haya basi kwa wapendwa wa Smartlife na Smartphones, Blog hii hapa. Mobility KE
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa njema kwa wale ambao wamekuwa wakihangaika kutafuta spea za battery zao za laptop zilizo kufa bila mafanikio. Sasa battery yako iliyo kufa inaweza ikawa renewed kitaalamu, Uboreshaji...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
habarini wakuu! Naombeni kujuzwa nitapata wapi hii complete screen ya HTC ONE VX na kwa bei gani? Mwenye kujua plz anijulishe manake kariakoo nimezunguka bila mafanikio!
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Wadau mambo vipi? Asanteni sana kwa kutujulisha mambo mengi hapa kuhusu technology issues. Nowdays soko la smartphone limejaa sana. Sasa naomba ushauri ni ipi Operating System nzuri kwa smartphone...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Jf natanguliza shukrani simu aina ya Tecno T605 inanisumbua sana ninapoweka line ya voda kama connection kwenye internet haisumbui kufungua facebook ila nikiweka airtel fb haifunguki kabisa...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Ipo hewani tangu may 6, ni unti-update DOWNLOAD HAPA
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu naomba msaada wa ku update rooted s3
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Morning waungwana, Naombeni msaada wa mawasiliano kwa anayejua mtaalamu wa kuweka sound proof na mtaalam wa kuweka taa za night club. is urgent and serious. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The US government agency that collects personnel information for federal employees has said that a cybersecurity breach had compromised the data of up to four million people. The Federal Bureau...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
inashndwa kudownload nmefuta appl zote nlzodownload lakin bado inasema memor aitosh. msada
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hi, am a tenacious mechatronic expert , with a lot of experience in electronic design. i also have an aptitude towards analog circuits, high power switching control, as well as in small signal...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini..Natumia Samsung galaxy S5 kwa bahati mbaya nimejikuta nimefuta picha zote zilizokua kwenye galary..je nawezaje kuzipata tena? Nifahamisheni tafadhali nifanyeje kuzipata tenA??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I want to prepare a VOD web segment, please I need your help on the basic things to bear in mind.
0 Reactions
2 Replies
836 Views
Wadau habari mwanzoni nilikuwa natumia OGWhatsapp ambayo iliniwezesha kutumia namba mbili katika simu moja lakini imeshakwisha muda wake na sijapata iliyo active. Kama kuna mtu anayo link ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu natumain mko poa Nilinunua moderm siku zilizopita kwenye maduka ya Tigo lakin nikawa nataka itumie lain zote kwa bahati mbaya wakati naflash ikagoma na kufa kabisa yani ikichomeka kwenye...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kampuni ya Microsoft imeamua kusitisha matumizi ya jina la Nokia kwenye bidhaa zake. Kuanzia sasa simu kutoka microsoft zitakuwa zinaitwa Microsoft Lumia au Lumia tu badala ya kuanzia na jina la...
7 Reactions
74 Replies
12K Views
Wana jukwaa toka juzi najaribu ku download series ya vikings lakini inakataa. Anayejuwa njia mbadala naomba anisaidie.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wengi tunafahamu na kutumia UC Browser katika simu zetu. Kwa sasa UC Browser inapatikana katika Windows Platform Ili kudownload UC Browser for Windows copy hii link na paste katika browser yako...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Natumaini mu wazima humu jamvini na mnaendelea vizuri katika harakati za ujenzi wa taifa. Moja kwa moja kwenye mada! Natumia LG 2 Mini inayotumia kitkat OS na kwa kawaida ya hii OS huwez ku switch...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ninaomba kufahamishwa Kwa mini unapoandika hasa kwenye hizi simu smartphone maandishi huwa yanajibadili mfano utakuta hapo juu nimeandika neno Kwa nini imekuja Kwa mini
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom