Kutengeneza Application yangu ya wireless tethering for PC!

Kutengeneza Application yangu ya wireless tethering for PC!

wickerman

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
408
Reaction score
252
Wakuu niaje,
Ni muda mrefu sasa toka nimepost kitu muhimu na useful pia; Well sina jipya sana bali nilikua tu natoa tu kama habari ya project ambayo nimejipa kama challenge kwangu mimi mwenyewe na pia kusikia nyie mnasemaje au mna maoni gani, Ishu ni kutengeneza application ya wireless tethering ya PC ambayo kama ikikamilika itakuwa free kabisa!. So nimeifanyia kazi kidogo and nashukuru nimeweza kuaccomplish the main function, wireless hotspot, bado safari ni ndefu, Connection Sharing na ishu kama hizo, ila hope itafanikiwa... Unaweza check baadhi ya pics hapa chini!

Soft.png

Huu ndo mwonekano wake kwa sasa...

ics.png

Hapa ni kama inavyoonekana katika N&SC


Ipad.jpg

Hapa ni hiyo connection inavyoonekana katika Ipad...

​
Hii project bado ipo mwanzoni sana, although mwelekeo wake naona ni mzuri.

NOTE :Naelewa ziko Programs zinazofanya hivi nyingi tu ambazo ni bure, lakini kama nilivyotangulia kusema mwanzoni, hii ni challenge nimejipa mimi mwenyewe!

 
Kama inaweza ku share Tun2Socks au windows Tap adapters basi imekaa poa sana

Kuna apps haziwezi kushare adapters kama hizi
 
Kama inaweza ku share Tun2Socks au Local Area Connection basi imekaa poa sana

Kwa sasa hivi inaweza kuretrieve list ya networks zote ambazo zipo active kwenye computer, ila implementation ya kufanya the actual sharing ya network na kuitumia katika devices nyengine bado ni pasua kichwa, ila nitakomaa nayo tu mpaka solution ipatikane!
 
kaka internet sharing si ipo tayari built in kwenye windows? unless unatengeneza driver mpya na adapter kama connectify. unaweza tumia ile ile built in then ukatengeza tu GUI ambayo ni nzuri kuvutia watu
 
kaka internet sharing si ipo tayari built in kwenye windows? unless unatengeneza driver mpya na adapter kama connectify. unaweza tumia ile ile built in then ukatengeza tu GUI ambayo ni nzuri kuvutia watu

Ni kwel kabisa mkuu,

Kwa kufanya manually kwenye windows ni rahisi hata sio shida sana, najaribu kuitengenezea GUI hiyo procedure yote, ili iwe just a click away, hapo ndo kazi inapoanza... Sio complicated sana kwasababu kulaunch na kuset up hyo connection, inatumia cmd commands tu za kawaida, so far nimekuwa stuck kwenye jinsi ya ku enable internet connection sharing kwenye connection ambayo imechaguliwa na kuweka hotspot connection kama Home networking connection.

image.png

​
Baada ya hapo vyengine inakua tu sasa ni mbwembwe kwasababu main goal itakua imeshakamilika... Nikifanikiwa hilo, i hope nitakua sihitaji tena connectify...
 
Back
Top Bottom