Msaada jinsi ya KuSpay SMS za simu kwenye hii website

Msaada jinsi ya KuSpay SMS za simu kwenye hii website

jfrank kama alivyo Chief-Mkwawa ni sahihi kabisa hao jamaa wanakuwa wanapromote baadhi ya app utadownload wee mpka uchoke ukitaka ujue hao jamaa ni waongo ingiza fake number utaona wanajifanya bado wana intercept text kwa namba ambayo haipo.
 
Last edited by a moderator:
Habarini wakuu....!

Wakuu kuna website hii http://www.google.com/url?sa=t&rct=...FOmrSJ3RMvATnpQ&bvm=bv.95039771,d.ZGU&cad=rja --sms-peeper.com/--- so nashindwa kupata code maana wanasema survey lakin sion ata kinachoendelea apo kias nachemka ivo mwenye ayo mautundu naomba anisaidie tafadhari...............


Hahaha hii website ni fake, hakuna lolote hapo nilijaribu kuitumia kitambo sana. Hata ukiweka namba 111111 inakuambia imepata sms 50 wakati namba yenyewe haipo
 
Back
Top Bottom