samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 360
Wadau habari! Naomba msaada kwa yeyote mwenye program ya HP Deskjet 3070A printer, kwani cd yake imevunjika na nimeformat laptop yangu.
wadau habari za? naomba msada kwa yeyote mwenye program ya HP Deskjet 3070A printer, kwani cd yake imevunjika na nimeformate laptop yangu.
HP Deskjet 3070A e-All-in-One PrinterDownload hapa http://ftp.hp.com/pub/softlib/software12/COL37947/al-109010-3/DJ3070_B611_1315-1.exe
The Full Feature Software and driver solution is the complete software solution intended for users who want more than just a basic driver.
IMPORTANT NOTES
For Windows XP Starter Edition, Windows Vista Starter Edition and Windows 7 Starter Edition
• Is supported for USB only
![]()
asante mkuu nimefanikiwa kudownload.pia ukitaka cd yake mimi ninayo km utapata shida ktk hiyo download, napatikana kwa namba hii 0655 600 437. dsm