Toa maoni yako kwa grab real estate app

Toa maoni yako kwa grab real estate app

Software Engineer

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2014
Posts
344
Reaction score
138
Wadau wa masuala ya IT na Real Estate hapa Tanzania.

Tumetengeneza android app inayorahisisha mchakato wa upatikanaji wa (kupanga na kuuza) nyumba, ardhi, ofisi n.k

Kuona demo bonyeza HAPA

Tunawakaribisha wadau wote.

Maoni, makosa, ushauri n.k juu ya hii app yanakaribishwa.


Pamoja
 
Details ninazo download hazifunguki kwenye simu..nihilo tuu
 
Details ninazo download hazifunguki kwenye simu..nihilo tuu

Simu yako ni ya android?

Kama haifunguki kupitia hiyo link, basi ingia playstore kisha search GRABREALESTATE, utaiona hiyo app,install kwenye simu yako.
 
Simu yako ni ya android?

Kama haifunguki kupitia hiyo link, basi ingia playstore kisha search GRABREALESTATE, utaiona hiyo app,install kwenye simu yako.

Ninayo tayar ila kuna baadh ya kazi taarifazake unalazmika kuzidownload kisha kazisomeki..
 
Kwa mfano..
 

Attachments

  • 1433620406610.jpg
    1433620406610.jpg
    42.9 KB · Views: 93
Nimedownload tayar
 

Attachments

  • 1433620456762.jpg
    1433620456762.jpg
    11.5 KB · Views: 72
Can't open file..
 

Attachments

  • 1433620500263.jpg
    1433620500263.jpg
    47 KB · Views: 79
Lifanyie kazi hili,.hata kwenye ule uzi mwingine watu walilalamikia hilo tatizo..app ni nzuri sana hongera
 
Hii kitu ni kwa watu wa android pekee?

Ios sijaona kutu
 
Back
Top Bottom