Low budget android phones with these specification

g4cool

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
431
Reaction score
211
Halo bandugu nataka kununua any android phone, lakini yenye RAM kuanzia 1 gb na camera ianzie 6MP,naomba ushauri wenu, ni brand gani nichukue na bei yake ikoje??
Pia nataka nimchukulie wife tablet kwa ajili ya kazi zake, hapo pia naomba maoni yenu
 
kaka i recomend simu yoyote yenye 1gb ram na snapdragon 410, internal memory pia atleast iwe hata 8gb.

motorola moto e lte ya mwaka 2015 ina sifa zote hapo juu ila camera ni 5mp. lakini camera yake ni nzuri na review mbali mbali wameisifia unaweza pata 8mp na ikawa kimeo sababu quality ya camera si megapixel.

hii simu ni ngumu kuipata huku kwetu, ila kwa wenzetu bei yake ni around dola 120 (kama 250,000)

zipo simu nyengine kama huawei y550 ni alternative nzuri ya moto e.

kuhusu tablet itakuwa inafanyia kazi gani?
 
So naweza tumia njia gani kuiagiza??
 
Kuhusu tablet, anataka awe anaitumia kufundishia iwe mbadala wa kubeba laptop, ni mwl wa chuo flan cha serikal si unajua tena wadada wa kizaz cha ntakupwelepweta.com
 
So naweza tumia njia gani kuiagiza??

unaweza tumia ebay au kumuagizia mtu, nakushauri hio sababu ni bei rahisi na pia inavitu vizuri kama kupata updates, battery yake inakaa sana na charge nk.

kama budget yako ni kubwa zipo simu nzuri hapa hapa kama galaxy grand 2, lg g2, xperia z nk
 
Kuhusu tablet, anataka awe anaitumia kufundishia iwe mbadala wa kubeba laptop, ni mwl wa chuo flan cha serikal si unajua tena wadada wa kizaz cha ntakupwelepweta.com

kama anataka mbadala wa laptop ni vyema ukamtaftia tablet za windows ambazo ni 2 in 1. inakuwa ni tablets na pia inakuwa ni laptop akiwa anafanya kazi zinazohitaji kuchapa anachomeka keyboard na akiwa darasani anapresent anacjhomoa keyboard anabaki na tablets tu.

hizi pia ni ngumu kuzipata na bei zinaanzia dola 60 hadi mwenyewe utakapojiweza. hizi za dola 60 zinakuwa na ram 1gb tu hivyo kuna wakati zitakuwa slow hivyo ni vyema akatafuta yenye 2gb.

kv.png

za 2gb zipo zinazorange kwenye dola 150-200 (300,000-400,000) ila inakuwa haiingii line wala keyboard haina inabidi ununue separate
ipo moja dola 299(picha yake hio hapo juu) yenyewe inakuja na keyboard na fast processor

changamoto ya hizi tab za windows itabidi atumie modem au atoe hela ndefu kidogo akitaka zinazotumia line. kama upo tayari kutoa zaidi ya milioni then kuna surface 3 ni nzuri inaingia line ina 4g space kubwa nk ila kwangu mimi naona kama hailipi kutoa hela kubwa ili niachane na modem.
 
Duh!! ukiacha hizo za windows, vp kuhusu tecno na lg si ni kama na wao wametoa za kwao??? au haziko poa??
 
kaka hizo zinafaa kuingilia whatsapp, facebook nk, haziwezi kureplace laptop. unaweza some mafile ya word, excel, pdf nk ila shughuli ni pale unapotaka kutengeneza notes, kuprint na vitu kama hivyo hataweza. pia hizo tecno na lg zina power sawa na simu yake chochote anachofanya kwenye simu ataweza fanya kwenye tablet
 
Halo bandugu nataka kununua any android phone, lakini yenye RAM kuanzia 1 gb na camera ianzie 6MP,naomba ushauri wenu, ni brand gani nichukue na bei yake ikoje??
Pia nataka nimchukulie wife tablet kwa ajili ya kazi zake, hapo pia naomba maoni yenu

TECNO H6 180000/=Tsh.
Acer tablet 450000/=Tsh. Kwenye maduka ya tigo
 
Halo bandugu nataka kununua any android phone, lakini yenye RAM kuanzia 1 gb na camera ianzie 6MP,naomba ushauri wenu, ni brand gani nichukue na bei yake ikoje??
Pia nataka nimchukulie wife tablet kwa ajili ya kazi zake, hapo pia naomba maoni yenu

usije kununua tecno.
 
Back
Top Bottom