Unless you have access to a F-22 fighter jet, you probably haven't been able to fly faster than the speed of sound since the last Concorde flight in 2003. NASA wants to change this. The agency...
Kwa wale wasofahamu, huu mwezi wa sita unaweza kuona sayari hizi mbili Venus na jupiter kwa macho pekee,
Ukiangalia kwenye ile njia mwezi unapopita utaona vitu vitatu vinavyowaka, viwili kati...
Nina iphone 5 ilikuwa locked via network ya sprint US so nilipo letewa ilikuja gevey sim ambayo nilikuwa naipachika kwenye sim tray halafu sim card naiweka juu ya gevey then naiweka kwenye simu...
Wakuu kwa mwenye uelewa wa masuala ya umeme, naomba kujuzwa kwa namna gani ninaweza kuzalisha umeme kwa matumizi ya kuwasha walau televisheni ya inchi 14 na taa kama kumi hivi. Angalizo umeme huu...
Kama ni mtumiaji wa paypal na ungependa uweze receive paypal payments in Tanzania piga kura yako kwa kufuata hiyo link hapo chini. Hadi Malawi wanapokea paypal payments, why not us?
Petition...
Nimejaribu kucheza na different players on ma unrooted android kwakutumia normal earphones hizi hizi low quality za kawaida za buku teni or 15, lakini playerpro nimeona ni bora zaidi, with best...
Habari ndugu zangu za weekend ,ningependa kujuzwa kuwa hizi tablet za vodacom zina utofauti gani kiutendaji ukilinganisha na Vodacom smartkicka? manake naona some spec kama zafanana
Wakuu nimekuwa nadowload windows mara kadhaa na kuzitumia zikiwa kama image tayari. Lakini hii imekuja CD. Sasa nahitaji kuifanya kuwa image ili iwe bootable. Je nitumie prog gani??
Habari Wadau,nimeona Nije Kwenye Jukwaa Hili Inaweza Kuwa Rahisi Kujibiwa Kulingana Na Nature Ya Wanaotembelea Sana Hapa.Mimi Naomba Kujua Malipo Ya Mafundi Wa Minara Na Wasaidizi Wao Ni Sh.Ngapi...
Tafafhalini simu yangu aina ya LG G 3 inazingua Niki connect Internet camera haifanyi kazi nimesha I factory restore inakua kawaida ila uki configure internet camera ina stack haionyeshi tatizo ni...
Simu yang ni 3g huwa natumia laini ya voda hizi za sasa na inasoma 3g. Lakini kuna laini ya mtu zile za zamani ina bando nimeiweka haisomi 3g . shda nn hapo ipo slow sana
Hello wana jamii forum
Natafuta mtu ambaye anaweza ku develop Software ( SOFTWARE ENGINEER)
Awe CREATIVE pia awe ameshawahi ku develop software awe na demo ya software aliyo develop. Check me 0717...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.