Msaada: Lumia 435 kusoma PDF

Msaada: Lumia 435 kusoma PDF

Joined
Aug 23, 2013
Posts
71
Reaction score
10
Wadau nimetoka android nipo huku sasa nimezoea kusoma pdf kwa WPS sasa huku naiona adobe reader tu.naomba kuuliza hakuna njia ya kusoma pdf file kama kule kwenye android? Maana inshu ya kushindwa kuseti hii adobe isome kwa kulingana na kioo siwezi
 
Mkuu sijaelewa hapo, mbona adobe reader inasoma na unaweza ku zoom kawenye windows fone, kama ilivyo kwenye android
 
The only app iliokua inaweza fanya hivyo ni nokia reader na microsoft wameidiscontinue, sometime hawa microsoft kama hawana akili vizuri.

Foxit wametoa app yao kwa windows phone haina hiyo feature ya ku adjust maandishi kwa screen size (reflow) ila i hope next version wataieka maana hawa jamaa wapo vizuri sana. App yao ya android inayo reflow
ymollel jamaa anazungumzia feature hii hapa inayoonekana kwenye picha

pdf-reflow-200-356.png

Kuweza kusoma maandishi ya pdf bila kuscroll left na right
 
Last edited by a moderator:

Hapo nimeelewa alichomaanisha, mobile view ama responsive view fulani vile
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom