Javis Elias Balilemwa
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 489
- 67
Jamani nilipewa ofa na tigo ya GB 5 sasa mwishoni nikiwa naelekea kuzimalza android yangu inaniletea ujumbe huo specific data limit exceeded.. ?
Nenda kwenda Data and Networks then data usage. Utaona sehemu ya Ku adjust