Msaada: Nokia asha 200

Msaada: Nokia asha 200

Lee Cho in

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
941
Reaction score
693
Habar za majukumu wakuu

plz naomba msaada wenu sim yangu ni nokia asha 200 so naomba mwenye maujuz ya kuinstall whats app kwenye nokia asha anisaidie plz

shukran
snipa
 
Last edited by a moderator:
Ebu pitia huu Uzi hapa ndo jamii moja na trtz lako hiloooo Bonyeza Hapa na hapa chini soma maelezo ya Mkuu snipa

Kaka hiyo process unayo itoa wewe ni ndefu na itawapa tabu wasio na PC
hizi apa Whatsapp una download tu moja kwa moja kwenye simu yako hakuna haja ya kuanza ku unzip sijui!
.
Whatsapp for Nokia Asha 501, 305, 200, 306, 308, 205, 202 > direct download = jar file
.
Whatsapp for Nokia Asha 501, 305, 200, 306, 308, 205, 202 > Direct Download = jad file
.
Install then update you're Done!
 
Last edited by a moderator:
Inatakiwa uweke certificate yake kwanxa0715378899
 
vp na Nokia N80 symbian s60v3 wakuu maana na yenyewe inazingua nataka nijaribu kui hack kisha nijaribu kuinstal whatsapp

WhatsApp inatumia valid certificate, kwahiyo kuihack simu yako hakitosaidia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom