Kioo cha samsung galaxy s4

Kioo cha samsung galaxy s4

kijumbamshale

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
267
Reaction score
88
Mwenye kujua fixing ya hicho kioo inaweza gharimu kiasi gani naomba anijulishe tafadhali
 
Mwenye kujua fixing ya hicho kioo inaweza gharimu kiasi gani naomba anijulishe tafadhali

Mkuu kimepasuka? Yaan kibadilishwe kabisa au imekufa touch? Ya kwang s3 but bongo kinauzwa 250000 sasa chako nadhan zaid ya hapo ila mm natarajia kumuagizia rafk yang india huko n rahis oengne keshikutwa atanambia wanauza bei gan
 
Back
Top Bottom