wadau utajuaje tecno h6 mbayo ni orijino na ambayo ni feki
wadau utajuaje tecno h6 mbayo ni orijino na ambayo ni feki
Free ads for samsung..... OkfineHamna tecno mbovu ila zote ni fake! tafuta samsung
Maelezo yako hayaeleweki.Toa betri utaiona au angalia kwenye box ya simu yako
Mmh mkuu sio fake. Ni cheap phones bhana.zote zipo sawa tu..fake
Tecno za maajabu sana usijidanganye mkuu
hiyo vc in ipi