Salaam wazee wa Tech
Naweza pata mtu anayeweza tengeneza database system ambayo inaweza kutuma sms and email kwa baadhi ya individual ambao wapo katika hiyo system pia huo ujumbe unaotumwa unaweza tumwa in form of bulk message hizo message zinaweza kuwa tofauti but zitumwe wakati mmoja kwa watu tofauti.
Kujieleza imekua shida kidogo but kwa mtu aliyeelewa concept nayotaka kuiwasilisha basi ajitokezee hata through pm kama kweli anaweza design database system kama hiyo.
Asanteni