Srebrina
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 972
- 441
habari za jioni wakuu leo kuna kitu nataka kukijua ivi kwa zile movie mfano unakuta m2 mmoja anacheza sehemu mbili alafu wanainteract mfano kushikana mikono mikona kupigana nk wakiwa eneo moja pia skeleton kufanya matendo unayoyafanya kama kwenye nyimbo ya michael jackson - ghost swali linakuja je ni application, effect, plugin au utundu gani huwa unatumika hapo?