Msaada jinsi ya kuondoa dim kabla ya screen kuzima s4

Msaada jinsi ya kuondoa dim kabla ya screen kuzima s4

nerilan

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2013
Posts
469
Reaction score
713
Habari ya jioni wakuu.

Nina tatizo na nnahitaji utaalamu wenu. Kuna uwezekano wa kuifanya s4 yangu isiwe ina dim (kitendo cha mwanga kupungua) kabla ya kuzima?. Maana screen ikikaa bila kutumika kwa muda flan basi hujipunguza mwanga kisha screen kuzima.

Ninahitaji kudisable hali hiyo maana itanisaidia screen yangu iache kutetemeka mwanga pindi kioo kinapotaka kujizima.

Msaada please..
 
nenda playstore search app hizi, screen filter au night mode. hizi app zinakupa uwezo wa kuadjust brightness kadri unavyoweza kwa ajili ya kusomea usiku nk, zinaweza kukusaidia kuongeza mwanga pia na kuondoka na hali hio
 
Sasa mkuu zinaweza zikafanya screen ikajizima bila kudim kwanza?. Maana shida niliyonayo ni screen ya s4 kutetemeka mwanga pindi inapotaka kuzima kioo baada ya kukaa muda bila kutumika. Nimejaribu stayawake na keep screen ila hazizimi screen mpaka uizime manually
 
Kuna thread chief-mkwawa nilianzisha kuhusu tatizo hili la s4 nililonalo. Na kwa sasa nadhani labda njia pekee ni kuifanya simu isiingie kwenye dimming kabla ya ku turn off screen. Ila sasa how?
 
Kaka chief na wenzako mi nna ttzo moja kwenye s4 yangu yaani haisomi kbsa 3g nimejaribu kila njia nimeshindwa naomba unisaidie kaka yaani inasoma E
tu .Ni hilp tu
 
Kaka chief na wenzako mi nna ttzo moja kwenye s4 yangu yaani haisomi kbsa 3g nimejaribu kila njia nimeshindwa naomba unisaidie kaka yaani inasoma E
tu .Ni hilp tu

Umeenda setting then more network then mobile network then network mode halafu ueke wcdma only?

Kama hujafanya hivyo basi fanya, kama umeenda hiyo sehemu na hio menu haipo basi kuna uwezekano mkubwa simu yako ni clone
 
Asnte kaka huko kote nimeenda na nkiweka Wcdma only hata bar zote znatoka
 
Asnte kaka huko kote nimeenda na nkiweka Wcdma only hata bar zote znatoka

Kama ipo wcdma na bar zinatoka inamaanisha eneo lako hakuna 3g, au simu yako ni ya mitandao ya nje imechakachuliwa.

1. Hilo eneo lako kuna mtu ana 3g na mtandao kama wako?

2. Kama ndio nenda setting then about nisomee aina ya hio s4 yako ni ngapi

Mfano wa aina za s4 ni

I9500
I9505
 
Shukran. ..wapo wa2 wengi tu wana mtandao kma wangu na wanatumia 3g....hii ni I9505
 
Mkuu chief-mkwawa nimejaribu hizo apps ulizo suggest lakini bado ikitaka screen kujizima ina dim kwanza na ndo hapo mwanga wa kioo unaanza kutetemeka bado
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom