Msaada wa SIMU Tv

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,696
22,733
Habari wakuu

Nimedownload app ya Simu Tv kwenye simu yangu ya HTC Desire 8181.

Kwa bahati mbaya kila nikijaribu kufungua video inaniambia " Sorry this video can not played".

Naombeni msaada wenu namna ya kurekebisha hili tatizo.

Nashukuru!!
 
Mkuu hiyo cm ni yenyewe au ni kutoka kwa xi jin ping mana yake nayo inafanana na original ambayo kama si mzoefu unaivamia na ndo baadhi ya appl hazipigi kazi
 
Back
Top Bottom