Airtel Data Packages

Airtel Data Packages

hekimatele

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
9,889
Reaction score
2,808
Kuna anayejua kuhusu hili anijuze?
Natamani kujua vifurushi vyao vyote vya data na bei zake
 
maswali km polisi unajibiwa hili unauliza jingine
 
Thanks,
Nimeona hii ya bila kikomo kwa siku, wiki na mwezi.
Speed inakuaje na data ni kiasi gani wanatoa?

Njoo zantel 3G ni watamu sana.
Buku 2 unapewa 3GB kutumia 24hrs then ifikapo saa 5 usiku unapata unlimited mpak saa 12 asubuhi.
Speed yao ya download inaridhisha.
 
Njoo zantel 3G ni watamu sana.
Buku 2 unapewa 3GB kutumia 24hrs then ifikapo saa 5 usiku unapata unlimited mpak saa 12 asubuhi.
Speed yao ya download inaridhisha.

Tatizo ukiingia huko unaishia kununua data tu
Hamna utakayewasiliana nae kwenye voice calls
 
Tatizo ukiingia huko unaishia kununua data tu
Hamna utakayewasiliana nae kwenye voice calls

Sasa ISP yupi anakupa vyote bila ya kikomo?
Kamanataka na voice call+sms kubali data kiduchu.
Mi line yao naitumia kwa data tu,sms etc tigo ndiyo mpango.
attachment.php
 

Attachments

  • UTAMU.JPG
    UTAMU.JPG
    79 KB · Views: 280
sasa na hili suala la Milicom kununua Zantel limekaaje?
 
Back
Top Bottom