Mpitagwa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2012
- 2,338
- 1,127
Wadau wa jukwaa hili.
Heshima zenu.
Naomba msaada kama unawezekana. Je, inawezekana mtu ukazuia document yako isiweze kucopiwa na mtu ikiwa katika word format? Unafanyaje? Mimi najua kuconvert kwenda PDF then image. Sasa hapa wanataka word format.
Msaada wakuu