ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,116
- 5,370
Ni HP desktop, windows 7, juzi tu ilibadilishwa windows lakini tatizo limeanza tena.
Yaani nikiwasha inaanza ku-count numbers kona ya juu kushoto mpaka 1024,inaonesha nibonyeze F1 to BOOT, inaweza kurudia hivyo tena ndio iwake.
Kuna wakati iliniletea ujumbe kuwa internal battery ina tatizo so nii-replace, sasa wakuu kabla sijafanya hivyo, Je! Kuna solution naweza fanya? Maana hata tarehe lazima nirekebishe kila nikiiwasha.