Vodacom: Wajanja night(usiku kucha)

Vodacom: Wajanja night(usiku kucha)

Srebrina

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
972
Reaction score
441
Wanajamvi nina siku nyingi nilikuwa sijaingia kwenye menu ya voda leo nimeingia nimekutana na huduma ya wajanja night sasa kama kuna mtu alishawahi kuitumia naomba anijulishe wanatoa unlimited au? Au ndio imeingia mtandaoni leo?
 
Mara ya mwisho kutumia ya 1000 walinipa Approx 1gb fast internet baada ya hapo ikawa slow, ya ku-safu tu.
 
Utapewa 1gb kwa 500..ikiisha ndio basi, hamna punguzo la spidi wala nini
 
Kuna bando unlimited siku nzima kwa buku tu voda wazee wa series tunazidondosha vibaya had 30 GB per day
 
Mimi hata nisipo disconnect ikifika 700mb tu inapungua speed...shida nn hapa ?VIP apps kam hotspot shield znaweza kua solution mkuu?

Unatumia simu? Ni vigumu kwa simu kujua kama ili disconect ama la ila kwa modem mimi nadowload kwa speed ile ile hata ikija msg
 
Unatumia simu? Ni vigumu kwa simu kujua kama ili disconect ama la ila kwa modem mimi nadowload kwa speed ile ile hata ikija msg

Mkuu kwangu haikubali hata nisipo disconnect zikiisha zile 700Mb lazima idrop 54kbps hapa natumia modem.
Nadhani baadhi ya line zitakuwa zimependelewa.
 
Mkuu kwangu haikubali hata nisipo disconnect zikiisha zile 700Mb lazima idrop 54kbps hapa natumia modem.
Nadhani baadhi ya line zitakuwa zimependelewa.
Inawezekana, mimi siitumii sana hio bundle ila kila nikiitumia napata unlimited.

Modem ni zte mf180 na line ya voda yoyote, hadi hizi mpya ambazo zimekatwa kabisa kua mini sim
 
Inawezekana, mimi siitumii sana hio bundle ila kila nikiitumia napata unlimited.

Modem ni zte mf180 na line ya voda yoyote, hadi hizi mpya ambazo zimekatwa kabisa kua mini sim

Nakubaliana na Shaffin Simbamwene maana mimi line yangu hata iweje lazima speed ishuke pindi ukimaliza 700mb ila kuna line nyingine ya zamani zile za kibluu hata ufanyeje unapakua tu mpaka Bundle liishe yaani disconnect, chomoa modem, zima pc mwendo ni ule ule.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom