Je ni kweli antivirus hazina umuhimu katika simu za android?

Je ni kweli antivirus hazina umuhimu katika simu za android?

Ndondobwila

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2015
Posts
562
Reaction score
409
Hodi wanaJF! Naomba majibu ya swali langu. Je ni kweli antivirus hazina umuhimu katika simu za android??

Natanguliza shukrani
 
android ina kitu kinaitwa permission, unaruhusu mwenyewe app ziibe data zako hivyo ukiipa ruhusa ant virus haina la kusema sababu mwenye simu katoa ruhusa. ila android M italeta option ya kuzikatalia apps baadhi ya hizo permision
 
Binafsi naona kama antivirus haina kazi kwenye simu yangu
 
android ina kitu kinaitwa permission, unaruhusu mwenyewe app ziibe data zako hivyo ukiipa ruhusa ant virus haina la kusema sababu mwenye simu katoa ruhusa. ila android M italeta option ya kuzikatalia apps baadhi ya hizo permision

Kwenye emui 3 ya huawei na miui 6 ya xiaomi tayar hz features zpo tyar.
 

Attachments

  • 1434214239400.jpg
    1434214239400.jpg
    27.4 KB · Views: 293
Kwenye emui 3 ya huawei na miui 6 ya xiaomi tayar hz features zpo tyar.

yap niliiona kwenye emotion ui ya huawei, ila wao wameeka mkazo zaidi kwenye background task na suala zima la ulaji wa chaji na sio privacy, sababu wao huawei na xiaomi wana scandal kibao za kuiba data za watu.
 
Hazina kazi. Ufanyaji kazi wa simu ni tofauti na wa kompyuta. Computer program inaweza ku-access resources zote za computer, lakini kwa simu an application can only access the resources it is permitted to, so it can only have effects on its own, sio simu nzima. Hiyo ni basic tu, natumai itasaidia
 
There is no known virus that is a threat to the android os.
 
Back
Top Bottom