Wadau nimekuwa niki-record baadhi ya vipindi toka kwenye decoda(kisimbuzi) lakini hazi-play kwenye computer. Please naomba kufahamishwa kama inawezekana ku-convert aina hiyo ya file na namna ya...
Looking for some one who can customize my website, into a professional look of e commerce website. Website ready working(installed), not yet customized into online shopping quality look website...
Wakuu kuna HP pavilion hapa ina tatizo moja, yani pointer sometimes ina move yenyewe bila kuguswa. Sasa nini itakua solution maana driver naona ziko poa.
Moja ya blogs maarufu Tanzania ni Bongo5 na Millardayo.com. Ukiacha JamiiForums, blogs hizi nafikiri ndio zinafuatia kwa visitors ama views.
Ila ukiangalia hawatumii kabisa Adsense!! Ukienda blog...
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Mimi ni mmiliki wa king'amuzi cha startimes nilikua naomba msaada wa kuweza kublock channel tajwa hapo juu kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu ...
Naomba kupata frequense ambazo naweza tumia kupata channels nyingi zaidi kupitia sat ya amos5 @17E, Kwasasa nilizo nazo ni 11139H30000
12334H27500
12418H30000 Ambapo napata channels kama 40 hiv...
Habari wana jamvi...
Naomba kuuliza kama kuna yeyote anayejua apps ya android inayoweza ku convert maneno yaliyo kwenye picha kuja kwenye words..
Mfano labda " una gazeti au jarida sasa...
Wadau nina gari ya 2001 Volvo S60. Juzi kati ilipata hitilafu kwenye cooling Systme yake baada ya kuwa na leakage kwenye rejeta. Aliyokuwa anaendesha pia hakusoma alert ya temperature gauge sasa...
Jamani si wengine na nyungo mbali mbali,tulisha zoea kutumia huduma ya cable tangia tukiwa mkoani Tabora,
Naulliza hapa Temeke nani anatoa huduma hiyo ya Cable.
Gharama zake kwa ujumla
radio hii ni recheageable na inatumia battery ya nokia, ukiichomeka kwenye PC kwa kutumia USB cable basi PC yako itatambua kama sound device. na sauti ya computer inaweza kusikika kupitia spika...
Kabla ya kujua ubunifu wa leo unahusu nini;naomba nikuulize maswali yafuatayo.
JE? ulisha wahi kushuhudia:-,
* Flat TV au TV ya kawaida wakati wa kuwasha au wakati unaangalia ghafla inaungua...
kuna Laptop 2
Samsung NP 300 EX5
4GB RAM
120 GB HDD
AMD 1.5 GHz
15 inch
HP 6460B
2GB RAM
320 HDD
Core i5
15 inch
HP iko juu ya Samsung kwa 50,000.
Zote ni Used,ila Samsung imetumika zaidi...
habari za umu wakuuu natumia sim tajwa hapo juuu na tatizo lake kubwa ni kujiwasha data yenyewe yan nikizima tuu inakaa dakika mbili au tatu inajiwasha
Nimearibu kuangalia thread zilizopita na...
Habari programmers. Natafuta free sms API in PHP scripts , nyingi zilizopo online naona ni za java tu. Kwa anayejua website inayotoa free sms api(PHP) naomba anipostie link tafadhali. Au anayejua...
habari za majukumu wakuu.
samahani naomba mnisaidie jinsi ya kuhamisha majina yaliyo kwenye laini kwenda kwenye simu, nataka nibadilishe laini ila contact nibaki nazo. simu ni android.
Habari wana jamvi,
Naomba msaada wa mahali ninapoweza kupata hard disk enclosure za laptop hdd.
Zile za WD au Transcend zinapatika wapi, ziwe na speed ya 3.0 ni kwa ajili ya SATA hdd
Nikijua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.