Hiyo ni bootloop, na unaweza kuwa umefanya kitu kilichopelekea ku soft brick. Umejaribu wipe data pamoja na cache partition kwenye recovery mode.niko dar. simu inaandika kwenye screen neno android tu mda wote.
Hiyo ni bootloop, na unaweza kuwa umefanya kitu kilichopelekea ku soft brick. Umejaribu wipe data pamoja na cache partition kwenye recovery mode.
mkuu..kama utaweza nkuelekeze kama hutaweza basi ukipata muda nione nkusaidie,na mm nipo DarNiko Dar, simu inaandika kwenye screen neno android tu muda wote.